Pangoni humu amezaliwa mtoto Yesu
Wachungaji njooni tumwabudie mtoto Yesu
Malaika (wote) wanaimba -
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Na amani (pote) duniani
Kwa watu wote wenye mapenzi mema
- Mtoto Yesu amezaliwa, pangoni Bethlehemu
- Wachungaji wamefika, kumwona Mtoto Yesu
- Malaika mbinguni wanaimba, wakimsifu Mwokozi
- Nasi twende na zawadi zetu, Masiha kazaliwa
|
|
|