Usiku wa Raha Lyrics

USIKU WA RAHA

 1. {Usiku wa Raha, uwinguni kung'aa
  Wachunga shambani waangazwa gizani } *2
  Na Neno waambiwa la Mtoto mzaliwa
 2. {Wachunga twende upesi
  Tuje yakini tupate kuamini }*2
  Aliyotuelezea Mungu Mwenyezi
 3. {Wakaja haraka moyo kuwaka
  Mwokozi mtafuta bandani wamkuta } *2
  Maria na Yosefu na Mtoto Mtukufu
Usiku wa Raha
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
SOURCETanzania
 • Comments