Kuteswa Kwake Bwana

Kuteswa Kwake Bwana
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views10,855

Kuteswa Kwake Bwana Lyrics

  1. Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu
    Siachi kumuimbia pote niendapo *2

  2. Aliyeniokoa ni Yesu aliyevumilia mateso
    aliyemwaga damu mtini ndiye Bwana wangu *2
  3. Na kwa kunipenda mimi, aliuawa akafa
    Ni pendo la ajabu kunifilia *2
  4. Rohoni nimeoshwa na damu ya thamani
    Makosa yameoshwa naye Mwokozi *2