Wewe Bwana wewe Bwana Lyrics

WEWE BWANA WEWE BWANA

Wewe Bwana, wewe Bwana
Wewe Bwana nifadhili

 1. Wewe ni Mungu wangu
  Unionee huruma
 2. Wewe ee Bwana u mwema
  U tayari kusamehe
 3. Wewe u mwingi wa fadhili
  Kwa wote wakuombao
 4. Usikie sala yangu
  Uangalie kilio cha ombi langu
 5. Wewe ni Mungu wa rehema
  Wewe ni mvumilivu
 6. Uniokoe mimi mtumishi wako
  Ninayekutegemea
Wewe Bwana wewe Bwana
 • Comments