Ninakulilia

Ninakulilia
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views4,076

Ninakulilia Lyrics

  • Ninakulilia Bwana Mungu, nipe neema zako
    ili shetani asinishinde, niwe wako milele *2
  • Uwe ndani yangu siku zote, Baba usiniache
    Niwe ndani yako siku zote, niwe wako milele
  • Haki yako na idumu duniani siku zote
    Uangaze roho yangu nikutii daima
    Ee Baba unilinde
  • Ee Baba utazame, dunia yageuka
    Ndugu wauana, magonjwa yamezidi
  • Upendo na haupo, kati ya majirani
    Kwa kuwa haya yote, ni mwisho wa dunia
  • Ee ndugu tukumbuke (kwamba) raha za duniani (ovyo)
    Kuna faida gani (kweli) kufuata ulimwengu
    Na mwisho tusiishi na Baba Mungu ? *2