Tazameni Meza ya Bwana Lyrics

TAZAMENI MEZA YA BWANA

Tazameni meza ya Bwana inapendeza (kama nini)
Bwana Yesu ameandaa leo (kweli kweli)
Ni chakula chenye uzima chakula cha roho *2

 1. Bwana alivyo mkarimu kautoa mwili wake
  Kautoa kama chakula cha wok0ovu wetu
 2. Mwili wa Bwana Yesu ni chakula bora cha uzima
  Damu yake Bwana Yesu ni kinywaji cha kweli
 3. Bwana ametualika sote tujongee mezani
  Ni chakula chenye uzima chakula cha roho
 4. Simama ndugu nenda mbele kwa chakula kwa chakula cha uzima
  Ni chakula chenye uzima chakula cha roho
Tazameni Meza ya Bwana
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
SOURCETanzania
 • Comments