Mkate na Divai

Mkate na Divai
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,257

Mkate na Divai Lyrics

  1. Mkate na divai twakutolea,
    Pokea Bwana pokea

    Vipaji vyetu uvitakase
    Viwe sadaka vikupendeze
    Pokea Bwana pokea

  2. Hivi ni vipaji ulivyotupa -
    Nasi twavirudisha kwa upendo -
  3. Twajitolea na sisi wenyewe -
    Hata na ndugu zetu tunakupa -
  4. Hizi ni zawadi twakutolea -
    Zikufikie wewe huko uliko -
  5. Mwisho zitusaidie na sisi -
    Zikushuhudie zijapo kwako -