Ishara Kubwa
| Ishara Kubwa | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Album | Uwe Nasi Mama Maria |
| Category | Bikira Maria |
| Composer | Deo Mhumbira |
| Views | 5,289 |
Ishara Kubwa Lyrics
Ishara kubwa imeonekana mbinguni * 2
{ Mwanamke aliyevikwa jua,
Na mwezi chini ya miguu yake
Na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake } * 2- Tufurahi sote tunapoadhimisha siku hii
Kwa heshima ya Bikira Maria - Malaika nao wanaishangilia siku hii
Wanaimba na kumsifu Mungu - Bikira Maria leo amepalizwa Mbinguni
Mataifa yote tumshangilie