Una Heri Wewe Uliyesadiki
| Una Heri Wewe Uliyesadiki | |
|---|---|
| Performed by | St. Cecilia Mwenge Dsm | 
| Album | Nakupenda Maria | 
| Category | Bikira Maria | 
| Composer | F. Kashumba | 
| Views | 4,863 | 
Una Heri Wewe Uliyesadiki Lyrics
- Una heri wewe, wewe uliyesadiki
 Kwa maana yatatimizwa
 Uliyoambiwa na Bwana aleluya
- Moyo wangu wamwadhimisha Bwana
 Na roho yangu imeshangilia
 Mungu Mwokozi wangu
- Kwa maana Bwana ameutazama
 Kautazama unyonge wa mjaazi
 Wake mjakazi wake
- Kwa maana wewe kautazama
 Tokea sasa vizazi wataniita
 Mimi ni mbarikiwa
- Kwani mwenye nguvu kanitendea
 Kanitendea ametenda makuu
 Nalo jina tukufu
 
  
         
                            