Hongera Mama Yetu Maria

Hongera Mama Yetu Maria
Performed byKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
AlbumUwe Nasi Mama Maria
CategoryBikira Maria
Views4,247

Hongera Mama Yetu Maria Lyrics

  1. Hongera Mama Yetu - Maria
    Kumzaa Mwana - mfaLme
    Hongera hongera mama yetu
    Kwa kumzaa mtoto Yesu
    Mfalme na mkombozi wa wanadamu

  2. Kwa utii wako Maria, ulikubali kumzaa mtoto
    Mwanamume, kwa nini tusikuheshimu
  3. Mwenyezi amekuchagua, kumzaa mkombozi
    Mwokozi wa ulimwengu, kwa nini tusikuheshimu
  4. Mwenyezi amekukingia, ile dhambi ya asili
    Hauna doa mama, kwa nini tusikuheshimu
  5. Umemzaa Mwokozi na bado ukabaki bikira
    Bikira milele, kwa nini tusikuheshimu