Ninajivunia Ukristu Wangu

Ninajivunia Ukristu Wangu
Performed by-
AlbumWatikisa Kibuyu
CategoryFaith
Views3,043

Ninajivunia Ukristu Wangu Lyrics

  1. { Ninajivunia ukristu wangu, imani yangu
    Imeimarishwa kwa Msalaba, wa Yesu Kristu
    Mimi naamini Yesu ni Mungu } *2

  2. Wakristu msiyumbeyumbe na kutangatanga,
    Aminini kwamba Yesu Kristu ni Mungu
  3. Kama si kwenye miujiza au mafundisho,
    Tazameni kifo na ufufuko wake
  4. Hata hivyo sikilizeni ninapiga biu
    Kwa sauti kuu Yesu Kristu ni Mungu
  5. Katika sakramenti zote nilizopokea,
    Nalikiri kwamba Yesu Kristu ni Mungu