Maria Bikira Tumshangilie

Maria Bikira Tumshangilie
Performed by-
CategoryBikira Maria
Views3,070

Maria Bikira Tumshangilie Lyrics

  1. Maria Bikira tumshangilie ,
    Mama yetu bora tumkimbilie.
    Tumsifu , tumsifu
    Tumsifu , Maria *2

  2. Pasipo kilema tangu asili
    Waitunza nzima hyo fadhili
  3. Kumwona malaika wafadhaika
    Nenole kubali ,tutaokoka .
  4. Wakushangilia humu vizazi ,
    Kwani wamfumbia wao mkombozi