Nalifurahi Waliponiambia Lyrics

NALIFURAHI WALIPONIAMBIA

Nalifurahia waliponiambia (twende)
Twende nyumbani mwake Bwana (Mungu)
Baba wa milele , pia mtukufu , astahili enzi yote

 1. Sasa miguu yetu yasimama
  -wakupendao na wafanikiwe.
  Kwenye milanngo ako ee Sayuni
  -wakupendao na wafanikiwe
 2. Yerusalemu mji uliojengwa
  Kama mji ulioshikamana
 3. Walikopanda makabila
  Naam,kabila zote za Sayuni
 4. Wamushukuru Mungu Baba yetu
  Kama alivyotuagiza sisi sote
 5. Na hapo mna mahakama kuu
  Ni ile ya kifalme ya Daudi
 6. Uombeeni sSayuni amani
  Nayo fanaka muiombeeni
 7. Amani iwe ukumbini mwako
  Na usalama kwa majumba yako
 8. Kwa ‘jili ya jamaa zetu zote
  Kwa ‘jili nya nyumba yake Mwenyezi
Nalifurahi Waliponiambia
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments