Tuingie Nyumbani mwa Bwana Lyrics

TUINGIE NYUMBANI MWA BWANA

 1. Tuingie nyumbani mwake Bwana
  Tuingie nyumbani mwake Bwana kwa shangwe.

  Aleluya, aleluya,
  Tuingie nyumbani mwake Bwana kwa shangwe

 2. Sote tumwimbie wimbo mpya,
  kwa sifa nao utukufu wake Bwana
 3. Tushangilie kwa furaha
  Kwa kuwa yeye ni mkombozi wa wote.
 4. Vijana wazee na watoto ,
  Sote tulisifu jina la Bwana wetu.
 5. Tutoe nyoyo zetu kwa Bwana,
  Sote tuzipate baraka na neema
 6. Na tumshangilie Mungu pote,
  Sote tu-m-sifu milele na milele
Tuingie Nyumbani mwa Bwana
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments