Bwana ni Nuru Yangu

Bwana ni Nuru Yangu
Performed by-
CategoryZaburi
Views5,850

Bwana ni Nuru Yangu Lyrics

  1. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu
    Nimwogope nani na nimhofu nani
    Bwana ni ngome yangu na uzima
    Nimwogope nani na nimhofu nani

    Nimeamua (mimi ) maisha yangu (yote )
    Nitakaa nyumbanI mwake mungu. *2

  2. Nikitazama uzuri wake Bwana
    Moyoni ninapata nguvu kumfuata.
    Ninapotafakari hekaluni mwake
  3. Jeshi la mwovu likipigana nami
    Sitaogopa kwani Mungu yuko nami.
    Hata watesi na adui wakija
  4. Napiga moyo kode nikimngoja Bwana
    Ufalme wake ndio tumaini langu.
    Na wema wake kweli mimi nitapata