Bwana Nipe Uwezo Lyrics

BWANA NIPE UWEZO

 1. Bwana nipe uwezo kama Petro Simoni
  Nipitie juu ya maji, Bwana nipe imani.

  Ewa mwenzangu u majini tembea
  Ewe tembea ee mwanangu tembea
  Kweli ninatembea lakini bado nazama
  Ni kwa sababu imani yangu ni haba. *2

 2. Tukimshinda shetani, tumeyashinda mawimbi
  Tukilemewa na dhambi, tumezama majini.
 3. Dunia ni bahari dhambi nazo mawimbi
  Chung asana mawimbi, usizama majini.
Bwana Nipe Uwezo
CATEGORYTafakari
 • Comments