Ee Yesu wangu nakupenda mimi
Chakula cha yangu roho
wewe ni chakula cha yangu roho
Kila siku nakuwaza wewe
Shinda nami ukae nami ndani yangu
- Chakula hiki ni mwili wangu
Kinywaji hiki ni damu yangu
Tule tupate uzima wa milele
- Nisipokula huu mwili wangu
Msipokunywa hii damu yangu
Kamwe hamtakuwa na uzima
- Alaye mwili na damu yangu
Hukaa ndani nami ndani yake
Nitamfufua siku ya mwisho
|
|
|