Onjeni Muone

Onjeni Muone
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJohn Maja
Views3,187

Onjeni Muone Lyrics

  1. Onjeni muone (Bwana) ya kuwa Bwana
    Bwana yu mwema Bwana yu mwema

  2. Nitamhimidi Bwana kila wakati
    Sifa zake kinywani mwangu daima
  3. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu
    wanyenyekevu wasikie wakafurahi
  4. Mtukuzeni Bwana pamoja nami
    Na tuadhimishe jina lake pamoja