Soma Biblia Kitabu Kitakatifu

Soma Biblia Kitabu Kitakatifu
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views6,562

Soma Biblia Kitabu Kitakatifu Lyrics

  1. { Soma Bibilia kitabu kitakatifu,
    Soma uondoe ujinga wa kiroho. } *2

  2. Bibilia ni daktari wa maisha yako
    Uisome, uondoe ujinga wa kiroho - soma
  3. Bibilia ni hekima ya maisha yako
    Uisome uondoe ujinga wa kiroho - soma
  4. Bibilia ni mwalimu wa maisha yako
    Uisome uondoe ujinga wa kiroho - soma
  5. Bibilia ni mlinzi wa maisha yako
    Uisome, uondoe uchafu wa kiroho - soma
  6. Bibilia ni sabuni ya maisha yako
    Uisome, uondoe uchafu wa kiroho - soma
  7. Bibilia ni furaha ya maisha yako
    Uisome, uondoe huzuni ya kiroho - Soma