Leo Hii Kuna Mambo

Leo Hii Kuna Mambo
Performed by-
CategoryHarusi
Views3,221

Leo Hii Kuna Mambo Lyrics

  1. Leo hii kuna mambo, msema kesho ni muongo
    Furaha ya leo ni hakika, furaha shangilieni.

  2. Nasikia leo kuna shangwe,
    Ni shangwe ya nini jamani, leo hii.
  3. Mbona nyote mwashangilia
    Furaha yote ni ya nini, leo hii
  4. Kumbe leo kuna harusi
    Ndiyo maana mwashangalia, leo hii
  5. Hakika na tufanye shangwe
    Tuwapongezeni wenzetu, leo hii
  6. Nanyi Bwana na Bibi harusi
    Furahi na kushangilia,leo hii