Ndiwe Sitara Yangu

Ndiwe Sitara Yangu
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerD. E. Ng
Views4,483

Ndiwe Sitara Yangu Lyrics

  1. {Ndiwe sitara yangu Bwana
    Utanihifadhi na mateso
    Utanizungusha nyimbo za wokovu
    Nyimbo za wokovu } *2

  2. Heri aliyesamehewa, aliyesamehewa dhambi
    na kusitiriwa makosa yake makosa yake
  3. Nalikujulisha dhambi, dhambi yangu dhambi yangu
    Wala sikuuficha upotovu upotovu wangu
  4. Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana
    Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu