Yesu Msalabani Alipotundikwa

Yesu Msalabani Alipotundikwa
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerF. A. Nyundo
Views4,822

Yesu Msalabani Alipotundikwa Lyrics

  1. { Yesu msalabani, alipotundikwa
    Hakuwa na dhambi, mkombozi wetu } *2
    Dhambi zetu nyingi sana, ndizo zilimtesa
    Hakuwa na kosa, mkombozi wetu

  2. Aliteswa msalabani kwa ajili ya ukombozi wetu sisi
  3. Akasubulibiwa kwa ajili ya ukombozi wetu sisi