Nimefufuka Na Bado

Nimefufuka Na Bado
Performed by-
AlbumKafufuka Mwokozi
CategoryPasaka (Easter)
ComposerA. J. Msangule
Views3,267

Nimefufuka Na Bado Lyrics

  1. { Nimefufuka na bado ningali nawe
    Nimefufuka na bado nawe } *2
    { Wauweka mkono wake kichwani mwangu
    Maarifa yako ni ya ajabu kwangu } *2

  2. Umenizunguka ee Bwana, uko kila kona wanilinda salama
    Umenichunguza ee Mungu, umeijua siri yangu ya moyoni
  3. Umeniwekea ulinzi, kwa mkono wako Bwana umenilinda
    Kaa nami Kristu mfufuka, unipe uzima wako wa milele