Fadhili za Bwana

Fadhili za Bwana
Performed bySt. Monica Lower Kabete Campus UoN
AlbumToba Yangu
CategoryZaburi
ComposerRenatus Rwelamira
Views4,898

Fadhili za Bwana Lyrics

  1. Fadhili, Fadhili za Bwana nitaziimba milele*2
    Kwa kinywa changu nitavijulisha (vijulisha)
    vizazi vyote uhaminifu wako
    Nitavijulisha, uhaminifu wako.

  2. Maana nimesema, nimesema fadhili zitajengwa milele,
    katika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako
  3. Nimefanya agano,na mteule wangu nimemwapia Daudi,
    mtumishi wangu,kuwa wazao wako nitawafanya imara milele