Bwana Yesu Anatualika Lyrics

BWANA YESU ANATUALIKA

@ Andtrew Mulama

Bwana Yesu anatualika sote kwenye meza yake, tule chakula*2
Ni chakula cha uzima sote ndugu twende*2

  1. Kwa moyo wa ukarimu na wenye mapendo-twende ndugu sote twende
  2. Nazo pia nafsi zetu zilizotakaswa-
  3. Usisite ndugu yangu fanya hima kweli-
Bwana Yesu Anatualika
COMPOSERAndtrew Mulama
CHOIRSt. Monica Lower Kabete Campus UoN
ALBUMToba Yangu
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
  • Comments