Ziliwatokea Kama Ndimi Lyrics

ZILIWATOKEA KAMA NDIMI

{ Ziliwatokea zilizogawanyika kama ndimi
Na kukaa ndani yao } *2

  1. Wakajazwa Roho Mtakatifu,
    Wakasema kwa lugha lugha mpya
  2. Wakanena maneno makuu ya Mungu
    Wakasifu jina lake takatifu
  3. Yatupasa nasi sote tuhbiri
    Kama mitume walivyohubiri
Ziliwatokea Kama Ndimi
CHOIRKigurunyembe Morogoro Tz
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
SOURCEParokia ya Kigurunyembe Morogoro Tz
  • Comments