Kristu Alijinyenyekeza
| Kristu Alijinyenyekeza | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
| Album | Hii ni Kwaresma |
| Category | Kwaresma na Toba (Lent & Repentance) |
| Composer | E. I. Kalluh |
| Views | 7,340 |
Kristu Alijinyenyekeza Lyrics
Kristu alijinyenyekeza,
Kristu alijinyenyekeza
{ Akawa mtii hata mauti,
naam mauti ya msalaba } *2- Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno
Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina - Ninyi mnaomcha Bwana, msifuni
Enyi nyote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni - Wote wanionao hunicheka sana
Hunifyonza wakitikisa vichwa vyao