Nitawanyunyizieni Baraka

Nitawanyunyizieni Baraka
Alt TitleBwana Asema ya Kwamba
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,111

Nitawanyunyizieni Baraka Lyrics

  1. { Bwana asema, asema,
    Mimi nitawanyunyizieni baraka } *2
    { Nitamkemea (nitamkemea)
    Yeye ayalaye (yeye ayalaye) mazao ya ardhi yenu
    Wala mzabibu wenu hautapukutika } *2

  2. Leteni sadaka katika ghala yangu
    Kiwemo chakula kingi ndani ya nyumba yangu
  3. Mkinijaribu katika njia hii,
    Nitawakemea wadudu, nitawapa baraka
  4. Mataifa yote wawaiteni heri,
    Maana mtakuwa nchi tena yakupendeza