Asubuhi na Mapema

Asubuhi na Mapema
Performed bySt. Monica Sinza
AlbumNi Siku Njema Leo
CategoryPasaka (Easter)
ComposerG. Matui
Views4,624

Asubuhi na Mapema Lyrics

  1. { Asubuhi na mapema, siku ya kwanza ya ju-ma
    Wanawake walikwenda kaburini
    Wakiwa na mafuta na manemane
    Ili wampake Bwana ilivyo desturi } *2

    Pale kaburini, walishikwa na mshangao
    Kaburi li wazi, hafungwi Mwokozi
    Ametoka mzima, Kafufuka alivyosema

  2. Hawajafika bustanini, waliulizana njiani
    Kulifungulia jiwe kuu, tutawezaje sisi tu?
  3. Walipofika walishangaa, malaika safi alikaa
    Jiweni akimulika mlango umefunguka