Misa Upendo

Misa Upendo
Performed by-
CategoryMisa (Sung Mass)
ComposerJ. C. Shomaly
Views5,888

Misa Upendo Lyrics

BWANA UTUHURUMIE (MISA UPENDO)

  1. Bwana Bwana utuhurumie,
    Ee eh Bwana utuhurumie
    Ee Bwana, (ee Bwana)
    ee Bwana (ee Bwana)
    Ee Bwana Bwana utuhurumie Bwana *2

    /b/ Ee Bwana Bwana, ee Bwana Bwana
    Ee Bwana Bwana utuhurumie Bwana
  2. /s/ Kristu u Kristu utuhurumie , Kri-stu utuhurumie
    /a/ Kristu Kristu utuhurumie. ee kri-stu utuhurumie
    /t/ (Ee Kristu, ee Kristu Kristu
    Eee Kristu kri-stu utuhurumie
    /b/ Ewe Kristu Kristu u Kristu Kristu
    Kri - stu (Kristu) utuhurumie
  3. Bwana Bwana utuhurumie . . .

UTUKUFU KWA MUNGU (MISA UPENDO)

  1. { Utukufu kwa Mungu juu, utukufu
    Na amani duniani
    Kwa watu wote wenye mapenzi (mema)
    Kwa watu wote wenye mapenzi
    Mapenzi mema (utukufu) } *2

  2. Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu tunakutukuza
    Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako mkuu
    Ee Bwana Mungu, Mfalme wa Mbinguni
    Mu-ngu Baba, Mungu mwenye enzi,
    Bwana Yesu Kristu, Mwana wa pekee,
    Ee Bwana Mungu, ee Bwana Mungu
  3. Mwanakondoo mwana wake Baba, uondoaye dhambi za dunia
    Utuhurumie utuhurumie, pokea ombi letu ee Baba
    Mwenye kuketi kuume kwa Baba,
    Tuhurumie utuhurumie
    Kwa kuwa kwa kuwa, ndiwe peke yako,
    Mtakatifu mtakatifu
  4. Pekee Bwana mkuu Yesu Kristu, pamoja naye Roho Mtakatifu
    Katika katika utukufu wake, Mu-ngu Baba a-mina.

MTAKATIFU (MISA UPENDO)

  • Mtakatifu mtakatifu Bwana
    Mungu wa majeshi Mungu wa majeshi
    Mbingu na dunia zimejaa, utukufu wako
  • Hosanna (hosanna) hosanna (hosanna)
    Juu mbinguni
  • Mbarikiwa yeye anayekuja kwa jina la Bwana