Nalifurahi Waliponiambia

Nalifurahi Waliponiambia
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerF. A. Nyundo
Views7,290

Nalifurahi Waliponiambia Lyrics

  1. Nalifurahi waliponiambia,
    Tutaingia nyumbani mwa Bwana

    Miguu yetu imesimama,
    Ndani ya malango yako, ee Yerusalem
    Miguu yetu imesimama,
    Ndani ya malango yako, ee Yerusalem

  2. Amani iwe ndani ya ngome zako,
    Na salama ndani ya nyumba yako
  3. Ushuhuda kwa Waisraeli
    Walishukuru jina la Bwana
  4. Wafanikiwe wote wakupendao
    Na ndugu zangu na rafiki zangu
  5. Niseme sasa amani iwe nanyi
    Nyumbani mwenu muwe na baraka