Twende Tuhubiri Lyrics

TWENDE TUHUBIRI

@ Elly Odhiambo

Twende tuhubiri injili yake Yesu
Twende tutangaze ujumbe wake duniani
Kwa ngoma safi tamu nazo midundo
Kwa nyimbo nzuri tutangaze neno lake

  1. Tangaza ujumbe ujumbe wa Kristu
    Upate kuona uzuri wake Yesu
  2. Tangaza ujumbe kwao masikini
    Nao matajiri na walimwengu wote
  3. Tutasonga mbele tukiwa na Kristu
    Kwani yeyé ndiye Mwokozi wa dunia
Twende Tuhubiri
COMPOSERElly Odhiambo
CHOIRSt. Don Bosco Kyaani
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
  • Comments