- Ee Yesu nakuabudu, uliye hapa kweli
Mungu na binadamu, katika sakramenti,Pokea moyo wangu, unipe moyo wako
Ukae daima kwangu, nikae daima kwako.
- Ee Yesu nakuabudu, nakusadiki, ni mwili na damuyo,
Imani inakuona, katika hostia hiyo
- Ninakutumainia ee Yesu mfadhili
Na neema yako unipe, nifike uwinguni
- Ee Yesu ninakupenda, kuliko nafsi yangu
Nakupenda nana Yesu, ni heri ya Mbinguni
|
|
|