Njoo Kwangu ee Bwana Yesu

Njoo Kwangu ee Bwana Yesu
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerD. Kalolela
Views7,398

Njoo Kwangu ee Bwana Yesu Lyrics

  1. { Njoo kwangu, ee Bwana Yesu, njoo kwangu
    Shinda kwangu nami ndani yako
    Nipe nguvu za kukupenda, niishi na wewe siku zote } *2

  2. Moyo wangu unafarijika, ninapokupokea Yesu wangu
    Sauti yako ninaisikia, unapoingia moyoni mwangu
  3. Nafsi yangu inashangilia, Yesu wangu unaposhinda nami
    Mwili wangu hupata tulizo, udhaifu wa mwili hutoweka
  4. Nijalie furaha ya kweli, nidumu katika imani lako
    Nijalie upendo wa kweli, niwapende wenzangu siku zote