Siku Ile Inayokuja

Siku Ile Inayokuja
Alt TitleKwa Maana Angalieni
Performed by-
CategoryTafakari
ComposerJ. C. Shomaly
Views2,304

Siku Ile Inayokuja Lyrics

  1. Kwa maana angalieni, siku ile inayokuja
    Inawaka kama tanuru kama tanuru
    Watu wote wenye kiburi, nao watendao uovu
    Watakuwa kama makapi, kama makapi
    { Wengi nao watajiuliza, hatukutoa pepo,
    Na kwa ji-na la-ko kufa-nya mi-ujiza } *2

  2. Jiandae ndugu yangu siku hiyo yaja
    Kila mtu atalichukua furushi lake
  3. Jiulize kwa makini utakuwa wapi
    Ukiitwa leo au kesho ujiulize
  4. Siku ile inakuja hatujui saa
    Kila mtu atalichukua furushi lake