Inueni Vichwa Vyenu

Inueni Vichwa Vyenu
Performed by-
CategoryJumapili ya Matawi (Palm Sunday)
Views1,824

Inueni Vichwa Vyenu Lyrics

  1. Inueni vichwa vyenu, chukueni matawi
    kumlaki Bwana, kumlaki Bwana
    Mfalme amepanda punda

    Na sisi sote tuimbe,
    Mfalme wa utukufu *3
    mfa-a-a-a-alme Mfalme wa utukufu,
    mfalme wa utukufu

  2. Tandazeni nguo zenu. . .
  3. Inueni vichwa juu . . .
  4. Yapigeni na makofi .. .