Kristu Amekuwa Mtii

Kristu Amekuwa Mtii
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerA Muyonga
Views3,674

Kristu Amekuwa Mtii Lyrics

  1. { Kristu amekuwa mtii kwa ajili yetu, mpaka kufa,
    Hata kufa msalabani, hata kufa msalabani } *2

  2. Kristu alijinyenyekeza, akawa mtii hata mauti
    Naam mauti ya msalaba
  3. Kwa hiyo Mungu alimuadhimisha mno,
    Akamkirimia jina lile lipitalo kila jina
  4. Ninyi mnaomcha Bwana msifuni
    Enyi wote mlio uzao wa Yakobo mtukuzeni