Ni Nani Huyu

Ni Nani Huyu
Performed by-
CategoryHarusi
Views5,153

Ni Nani Huyu Lyrics

  1. Ni nani huyu anayekuja akiruka ruka, mpendwa wangu.

    Sikiliza mpendwa wangu, tazameni anavyokuja
    (Akirukaruka-mpendwa wangu)

  2. Simameni watu wote mkamtazame- mpendwa wangu.
  3. Mpendwa wangu yeye ni wangu na mimi ni wake-nampenda
  4. Mpendwa wangu alinena akaniambia njoo kwangu, njoo kwangu
  5. Mpendwa wangu nigeukie niutazame uso wako- uso wako