Anakuja Mwenye Wnzi Lyrics

ANAKUJA MWENYE WNZI

@ F. A. Nyundo

 1. Anakuja mwenye enzi Bwana mfalme
  Wanadamu kutukomboa
  Anakuja kututoa utumwani
  Wanadamu kutukomboa

  { Bwana mfalme, anakuja kwetu
  Anakuja anakuja anakuja kwetu } *2

 2. Anakuja andaeni njia yake
  Tayarisha mapito yake
  Nasi kweli tukamlaki ndiye mkuu
  Ni mwanga wetu duniani
 3. Anakuja kwa ajili yetu sisi
  Anatuletea wokovu
  Ni masiha hivyo nasi tumngojee
  Tumaini la wanadamu
Anakuja Mwenye Wnzi
COMPOSERF. A. Nyundo
CATEGORYMajilio (Advent)
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE6
8
SOURCETanzania
NOTES Open PDF
 • Comments