Njoo Masiha Tunakungoja Lyrics

NJOO MASIHA TUNAKUNGOJA

@ P. F. Mwarabu

Njoo Masiha tunakungoja, njoo njoo utuokoe *2

  1. Njoo Bwana njoo njoo tuokoe
    Tusiangamie katika giza la dhambi
  2. Udhaifu wetu watuelemea
    Dhambi zetu zatusonga njoo tuokoe
Njoo Masiha Tunakungoja
COMPOSERP. F. Mwarabu
CATEGORYMajilio (Advent)
SOURCEIfakara Tanzania
  • Comments