Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani Lyrics

SAUTI YA MTU ALIAYE NYIKANI

@ M. Lungwa

Sauti ya mtu aliaye nyikani
Itengenezeni njia ya Bwana
Yanyoosheni mapito (yake) mapito yake
Yanyoosheni mapito yake

 1. Palipo na bonde na pavukiwe
  Na palipo na milima pasawazishwe
 2. Na wenye mwili watauona
  Watauona wokovu wa Mungu wetu
 3. Palipo na giza nuru itawale
  Palipo na chuki pawe na upendo
 4. Tuungame dhambi zinazotusonga
  Ajapo Mwokozi sote tuwe safi
Sauti ya Mtu Aliaye Nyikani
COMPOSERM. Lungwa
CHOIRSt. Cecilia Kajiado
ALBUMImani Kipimo
CATEGORYMajilio (Advent)
SOURCETanzania
 • Comments