Nimekukimbilia Wewe Bwana

Nimekukimbilia Wewe Bwana
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views8,671

Nimekukimbilia Wewe Bwana Lyrics

  1. Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele
    Ee Baba mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu * 2

  2. Umenikomboa ee Bwana Mungu wa kweli
    Ee Baba mikononi mwako naiweka Roho yangu
  3. Kwa sababu ya watesi wangu nimekuwa laumu
    Naam hasa kwa jirani zangu
  4. Na kitu cha kutisha kwa rafiki zangu
    Walioniona njiani walinikimbia
  5. Nimesahauliwa kama mtu asiyekumbukwa
    Nimekuwa kama chombo kilichovunjika
  6. Maana nimesikia masingizio ya wengi
    Hofu ziko pande zote