Nalisema Nitayakiri Lyrics

NALISEMA NITAYAKIRI

@ B. Mapalala

{ Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana
(Nawe) Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi zangu } *2

 1. Heri aliyesamehewa dhambi,
  Na kusitiriwa makosa yake
  Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,
  Ambaye rohoni mwake hamna hila
 2. Ndiwe sitara yangu,
  Utanihifadhi na mateso
  Utanizungusha, nyimbo za wokovu
 3. Nalikujulisha dhambi yangu,
  Wala sikuuficha upotovu wangu
Nalisema Nitayakiri
COMPOSERB. Mapalala
CHOIRSt. Kizito Makuburi
ALBUMMimina Neema
CATEGORYZaburi
MUSIC KEYF
TIME SIGNATURE2
4
NOTES Open PDF
 • Comments