Kazi Ibarikiwe
| Kazi Ibarikiwe | |
|---|---|
| Performed by | - | 
| Category | Offertory/Sadaka | 
| Composer | Bernard Mukasa | 
| Views | 7,877 | 
Kazi Ibarikiwe Lyrics
- {Sadaka yetu tunayokutolea, Juhudi zetu tunaziombea,
 upokee (pokea) upokee (pokea) upkee sadaka ya wanao } *2
- Ya mkate na divai, mazao tuliyolima sisi
- Ya fedha na ya mali, kwa kuwa tumevipata kwako
- Ya muda na karamu, maana yote ni mali yako
- Kusudi ikupambe, popote wakutukuze wewe
 
  
         
                            