Acheni Mimi

Acheni Mimi
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMshike Mshike (Vol 5)
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerJ. C. Shomaly
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyKey D Major 3/8

Acheni Mimi Lyrics


{ Acheni mimi, nimuimbie Muumba wangu,
Aliyeniumba, mimi kiumbe mwenye akili } *2
Aliyenipa uwezo wa kusimama hapa
Tangu tumboni mwa mama amenipa uhai
Juzi jana leo nimeamka kesho ajua yeye
Maisha yangu ayapa maziwa ni kama mtoto
{ Acheni mimi, nizitamke sifa za Mungu wangu
Na sitachoka, kumuimbia mimi ningali hai } *2


1. [ b ] Nalala jioni na kuamka pia nazo nguvu,
Ninafanya kazi na kujipatia riziki zangu

2. Amenipatia akili yangu na wangu ubunifu,
Shuleni kazini ninayoyafanya hayana pungufu,

3. Mara nyingi sana ninajiuliza nitampa nini,
Kwani Bwana amenitendea mengi bila ya kwa nini

4. Ninapokuwa nazo shida nyingi hunipa tulizo,
Kwake kila mara watu wote hupata burudiko.

, Kuimba

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442