Aleluya Mshukuruni Bwana

Aleluya Mshukuruni Bwana
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerP. F. Mwarabu

Aleluya Mshukuruni Bwana Lyrics

 1. |s| { Alelu-uya alelu-uya alelu-u-uya amen
  |a| Alelu-ya, amen, alelu- alelu-ya amen
  |b| Aleluya, aleluya, aleluya a-amen
  Alelu-u-uya amen
  |t| Aleluya, amen, alelu-u-uya amen }* 2

 2. Aleluya mshukuruni Bwana,
  Aleluya liitieni jina lake
 3. Wajulisheni watu matendo yake,
  Mwimbieni Bwana mwimbieni kwa zaburi
 4. Jisifuni kwa jina, jina lake takatifu,
  Utafuteni uso, uso wake siku zote

  < h i t i m i s h o >

  Zikumbukeni ajabu zake Bwana
  Zikumbukeni ajabu zake alizofanya
  Kumbukeni miujiza na hukumu zake –
  Miujiza na hukumu za ki-nywa chake
  Aleluya amen *5