Amelaaniwa Mtu Yule

Amelaaniwa Mtu Yule
ChoirSt. Cecilia Mirerani
AlbumBaragumu la Maria
CategoryZaburi
ComposerE. A. Minja
ReferenceJer. 17

Amelaaniwa Mtu Yule Lyrics


Bwana asema hivi
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
(Na moyoni mwake amemwacha Bwana
Na moyoni mwa-ke amemwacha Bwana *2)1. Kwa maana yeye atakuwa kama vile fukara nyikani
Naye ataona siku zote yote mema yatendwayo

2. Yeye ataishi maisha ya jangwani na yaliyo na ukame
Kwenye nchi kavu, yenye chumvi isiyokuwa na watu

3. Kama vile kware asanyaye makinda asiyoyazaa
Ni sawa na yule apataye mali wala si kwa haki

4. Amebarikiwa mtu yule amwitaye Bwana ndiye njia,
Ndiye tumaini lake yeye siku za maisha yake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442