Asante Bwana Yesu

Asante Bwana Yesu
Choir-
CategoryEkaristia (Eucharist)

Asante Bwana Yesu Lyrics


Asante Bwana Yesu, kwa mema yako (yote)
Kwa mema yako, uliyotujalia
Asante, kwa mema yako (yote)
kwa mema yako, uliyotujalia1. Umetulisha umetunywesha, twashukuru

2. Mema ya mbingu tumeyapata, twashukuru

3. Mwana wa Mungu u kati yetu, twashukuru

4. Kwa vitu vyote ulivyotupa, twashukuru

5. Msamaha wako umetujalia, twashukuru

6. Asante sana kwa mema yako, twashukuru

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442