Login | Register

Sauti za Kuimba

Asubuhi Mchana Usiku Lyrics

ASUBUHI MCHANA USIKU

 1. Nitakuimbia Mungu wangu kweli

  Asubuhi mchana usiku
  Nitakuimbia Mungu wangu kwa shangwe
  Vinanda ngoma nitazipiga
  Vigelegele shangwe makofi nitakusifu milele yote

 2. Nitakushukuru Mungu wangu kweli . . .
 3. Nitazitangaza sifa zako kweli . . .
 4. Nitalitukuza jina lako kweli . . .
 5. Nitakuhimidi Mungu wangu kweli . . .
 6. Nitakuinua Mungu wangu kweli . . .
Asubuhi Mchana Usiku
CHOIRSt. Charles Lwanga Kisii
ALBUMAsubuhi Mchana Usiku
CATEGORYThanksgiving / Shukrani




 • Comments