Binadamu Ni Mavumbi

Binadamu Ni Mavumbi
Choir-
CategoryMazishi
Composer(traditional)

Binadamu Ni Mavumbi Lyrics

1. Binadamu, binadamu ni mavumbi
Mavumbini - mavumbini atarudi

Na tukifika - huko tutaimba aleluya
Makao - makaoni ya raha, ya raha (na starehe)
Yako huko Mbinguni2. Mwili wake - Mwili wake hukauka
Hukauka - kama ua la bondeni

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442